Leo February 27, 2018 Muda huu kupitia AyoTV tunakuletea LIVE Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC pamoja na Wakili Fatma Karume wanaongea na Waandishi wa habari na wanaharakati wa haki za kisiasa nchini. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.
BREAKING: Kauli ya kwanza ya Mbowe toka uchaguzi wa marudio