Leo February 27, 2018 watuhumiwa 61 wa matukio mbalimbali ya ugaidi Arusha wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Arusha ambapo kesi yao imetajwa na kuahirishwa hadi March 13 mwaka huu.
Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Gwanta Mwankuga ameahirisha kesi hiyo kutokana na upelelezi kutokukamilika
MBOWE NA VIONGOZI WENGINE WA CHADEMA WALIVYOFIKA POLISI KURIPOTI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA