Leo February 28, 2018 Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando amesomewa maelezo ya awali (Ph) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo amekana kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Shilingi Milioni 800.
Awali kabla ya kusomewa maelezo hayo mbele ya Hakimu Mfawidhi, Victoria Nongwa, Tido alikumbushwa mashtaka yanayomkabili na Wakili wa Serikali Dismas Mganyizi…...Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Wakili wake akiongea
WALIOJERUHIWA KWA RISASI MAANDAMANO YA CHADEMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI