Leo February 28, 2018 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru wafuasi 7 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka yao ya kulizuia Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yake.
Watuhumiwa hao ni, Sunday Urio, Kizito Damia, Joseph Samky, Chrisant Clemence, Wilfred Ngowi, Karim Kinyaiyasiriri ambapo wote walikabiliwa na tuhuma za kufanya fujo na kuwazuia askari polisi kufanya kazi yao….Bonyeza PLAY hapa chini kuwatazama baada ya kuachiwa
WALIOJERUHIWA KWA RISASI MAANDAMANO YA CHADEMA WAFIKISHWA MAHAKAMANI