Leo March 1, 2018 Kumetokea hali ya taharuki katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar Es Salaam baada ya kutokea kwa mlipuko wa moto uliosababishwa na Transfomer.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mtendaji wa Mahakama hiyo, Gasto Kanyairita amesema kuwa moto huo umetokea majira ya saa 4 asubuhi.
WALIOPIGWA RISASI MAANDAMANO YA CHADEMA WAACHIWA KWA DHAMANA……