Leo March 5,2018 Mahakama ya Rufani imesikiliza maombi ya mfanyabiashara James Rugemarila kuhusu kurekebisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa ya kupinga kunyimwa dhamana na Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ‘Mahakama ya Mafisadi’.
Maombi hayo yamesikilizwa mbele ya Jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Bernad Luanda, ambapo wengine ni Batuel Mmilla na Gerald Ndika. >>> Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ilivyokuwa.
TAARIFA RASMI YA CHADEMA KUHUSU KULAZWA KWA MBOWE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA