Leo March 6, 2018 Mbunge wa Nzega Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Hussein Bashe ameliandikia barua Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania ametoa hoja binafsi akitaka kuundwe Tume teule ya Bunge kuchunguza matukio yanayohatarisha Usalama wa Taifa.
Barua hiyo ameikabidhi kwa Katibu wa Bunge, Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama na kuisikiliza.
MBUNGE KALANGA KUHUSU TANESCO KUKATA UMEME MONDULI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA