Leo March 6, 2018 nakusogezea stori kutoka nchini Syria ambapo Ndege ya Urusi imeanguka katika uwanja wa ndege wa kijeshi katika mkoa wa Latakia nchini humo na kusababisha vifo vya abiria wote 32.
Inaelezwa kuwa sababu ya ajali hiyo inaaminiwa kuwa ni hitilafu ya kimitambo. Urusi inasema ndege hiyo haikushambuliwa.
BARUA YA HUSSEIN BASHE KWA BUNGE “UMOJA, USALAMA WA TAIFA”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA NA KUSIKILIZA