Leo March 6, 2018 stori iliyoshika headlines katika mitandao ya kijamii Tanzania ni kumhusu Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe ambapo amekabidhi barua kwa Katibu wa Bunge ambapo ameomba kutoa hoja binafsi akitaka kuundwe Tume teule ya Bunge kuchunguza matukio yanayohatarisha umoja, usalama wa Taifa.
Baada ya mjadala kuwa mkubwa katika mitandao ya kijamii AyoTV na millardayo.com imezungumza na Hussein Bashe ili aweze kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala….Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza.
BARUA YA HUSSEIN BASHE KWA BUNGE “UMOJA, USALAMA WA TAIFA”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA NA KUSIKILIZA