Baada ya Kituo cha haki za Binadamu ‘LHRC’ kupokea barua kutoka kwa Mkurugenzi wa uchaguzi Kailima Ramadhan ikidai wamepotosha baadhi ya mambo kupitia tamko lao la umoja wa Asasi za kiraia ‘AZAKI’.
Leo March 7 2018 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, Naemy Sillayo wamejitokeza mbele ya wanahabari kutoa ufafanuzi wa hoja za NEC dhidi ya tamko hilo.
WAAJIRI 6907 DSM KUPELEKWA MAHAKAMANI