Leo March 14, 2018 stori ninayokusogezea ni kuhusu Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) imemteua Jaji Chile Eboe-Osuji wa nchini Nigeria kama Rais wa Mahakama hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu na anatarajiwa kuanza kazi hivi karibuni.
Majaji wa Mahakama hiyo pia wamemteua Jaji Robert Fremr wa Jamhuri ya Czech kama Makamu wa Kwanza wa Rais wa Mahakama hiyo.
Mwingine aliyeteuliwa ni Jaji Marc Perrin de Brichambaut wa Ufaransa kama Makamu wa Pili wa Rais wa Mahakama hiyo.
Makosa matatu yaliyomfikisha kamati ya maadili makamu wa Rais TFF