Stori ilyoshika headlines wiki iliyopita kwenye vyombo mbalimbali vya kimataifa zilikuwa ni kuhusu kujiuzulu kwa Rais pekee mwanamke barani Afrika wa nchini Mauritania Ameenah Gurib-Fakim ambaye alitarajiwa kujiuzulu wiki hii.
Hatahivyo Rais huyo ambaye alikuwa anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, amekataa kujiuzulu kutoka kwenye nafasi yake hiyo huku akikanusha madai yanayomkabili ya matumizi hayo ya fedha.
Ofisi ya Rais huyo imeeleza kuwa fedha hizo ambazo ndizo zimesababisha tuhuma hizo dhidi ya Rais huyo, zilichukuliwa kwa bahati mbaya na tayari fedha hizo zimesharudishwa hivyo hakuna sababu ya kujiuzulu.
Makosa matatu yaliyomfikisha kamati ya maadili makamu wa Rais TFF