Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, mhandisi Hamad Masauni amezindua vituo Sita (6) vya Polisi vinavyohamishika kutoka eneo moja mpaka jingine vyenye lengo la kusaidia kukabiliana na wimbi la matukio ya uhalifu.
Akizungumza katika uzinduzi huo Eng. Masauni ametoa onyo kwa watu ambao wanataka kuandamana nchi.
‘NABII ANAEGAWA HELA SHILLAH’ AZUNGUMZA KANISA KUFUTIWA USAJILI, KUITWA DODOMA