Leo March 16, 2018 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Albert Chalamila ameeleza hali ya kiafya ilivyoimarika kwa mapacha wawili walioungana Maria na Consolata kuwa wanaendelea vizuri sana na pia ameishukuru hospitali ya Taifa Muhimbili kwa juhudi wanazoendelea kuzifanya.
“Tumewakuta wanaendelea vizuri MUNGU ni mwema, naona jitihada za hospitali ya Muhimbili wakifanya kazi, Wauguzi wanasema kila kitu ni gharama ya serikali unaweza ukaona jinsi gani serikali imebeba mzigo mkubwa” -Mwenyekiti CCM Iringa
‘NABII ANAEGAWA HELA SHILLAH’ AZUNGUMZA KANISA KUFUTIWA USAJILI, KUITWA DODOMA