Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali ya Afrika Kusini ametangaza muda mfupi uliopita leo March 16, 2018 kuwa Rais Mstaafu wa nchi hiyo Jacob Zuma atakabiliana na mashtaka 18 ya rushwa yaliyofunguliwa dhidi yake.
Inaelezwa kuwa mashtaka hayo ni zaidi ya 700 ambayo ni pamoja na vitendo vya udanganyifu, na utakatishaji wa fedha. Zuma amekana mashtaka hayo.
Jacob Zuma alishinikizwa kujivua Urais mwezi February, 2018 na chama chake cha African National Congress (ANC) na alikuwa akikabiliwa na kura ya tisa ya kutokuwa na imani naye kabla hata hajajiuzulu.
Hali ya Mapacha Maria na Consolata, Mwenyekiti CCM Iringa aeleza