Leo March 18, 2018 Nimeipata hii stori kutoka Ujerumani imepitisha sera mpya ya elimu kwa kuondoa aina zote za ada za masomo katika mfumo wa elimu ya juu, na kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote wanaotoka ndani na nje ya Ujerumani.
Sasa wanafunzi wote wanaosoma nchini Ujerumani watakuwa na fursa ya kupata elimu bure, na kufanya kufanya fursa za elimu katika bara la ulaya na ulimwenguni kwa ujumla.
Good News inatoka katika taifa la Ulaya Ujerumani ambapo wameamua kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote kutoka U.S.A na duniani kote.
Wakati gharama ya elimu ya chuo kikuu ya Marekani inapoongezeka kwa masomo ya shahada ya kwanza ya kuanzia $ 14,300 kwa vyuo vikuu vya serikali kama UCLA hadi $ 37,800 kwa shule binafsi kama ada ya Chuo cha Harvard, Ujerumani sio gharama kubwa sana kuanza.
Tanzania inashika nafasi Pili katika kuwashirikisha Wanawake katika Uongozi