Jumba la kifahari la Cap Ferrat ambalo limewahi kumilikiwa na Mfalme wa Ubelgiji Leopold II limeigizwa sokoni kuuzwa kwa gharama ya Euro milioni 350 ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Bilioni 984.
Kutokana na thamani hiyo, nyumba hii imetajwa kuwa nyumba yenye gharama ya juu zaidi ambayo iko kwenye mauzo. Nyumba hii ilijengwa mwana 1830. Nyumba hiyo ambayo ni ya mita za mrabab 18,000 iko ndani ya ekari 35 za ardhi.
Tabia 10 ambazo husababisha UMASKINI