Leo March 20,2018 tunayo story kuhusu Mwanafunzi Abdull Nondo, ambapo Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa wito kwa Mkurugenzi wa Upelelezi Tanzania (DCI), Mkuu wa Polisi (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kufika mahakamani hapo kujibu hoja kuhusu Nondo kutofikishwa mahakamani.
“Tangu aletewe Dar es Salaam hakuna aliyeonana naye si ndugu, Mawakili wala wanafunzi wenzake na hajafikishwa mahakamani hivyo tumeona njia ya pekee ni kwenda mahakamani kwa sababu ana haki ya kupata dhamana kama watu wengine,” -Jebrah.
Mchungaji awalazimisha Waumini kubusu na kulamba viatu vyake