Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mtwara Yusuph Nannila ameonya kwa Kijana atayeanzisha mahusiano na mtoto wa kike ambaye bado yupo masomoni hatakuwa salama, kwa kuwa Serikali imeweka mkazo kwa mtoto wa kike ili afikie malengo yake.
Nannila amesema Serikali haitawafumbia macho wabadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo na kwamba watakaobainika watachukuliwa hatua.
Mchungaji awalazimisha Waumini kubusu na kulamba viatu vyake