Leo March 21, 2018 Taarifa kutoka ofisi ya Rais nchini Myanmar ni kuwa Rais wa taifa hilo Htin Kyaw amejiuzulu, huku kukiwa hakuna sababu iliyotolewa lakini kumekuwa na wasiwasi katika miezi ya hivi karibuni kuhusu afya yake.
Htin Kyaw mwenye umri wa miaka 71 alliapishwa kuwa rais 2016 baada ya uchaguzi uliositisha baada ya miongo kadhaa ya uongozi wa kijeshi.
Taarifa iliyoandikwa katika ukurasa wa facebook wa Rais huyo imesema kuwa Htin alitaka kupumzika. Makamu wa Rais Myint Swee ambae alikuwa Jenerali atakuwa kaimu Rais hadi pale rais mpya atakapochaguliwa
Rais Magufuli amempangia IGP mstaafu Mangu kituo cha kazi
Mchungaji awalazimisha Waumini kubusu na kulamba viatu vyake