Brand inayoongoza nchini Tanzania, Safari Lager kwa mara ya kwanza kabisa wamefungua kituo cha kwanza na cha kipekee Afrika Mashariki ambacho watu watakuwa wakijishindia SAFARI LAGER ndogo ya ML. 375 kila siku ya Jumatano siku ya J’GWARA.
Meneja wa Bia ya Safari lager, Kabula Nshimo ametoa ufafanuzi wa jinsi ya kujishindia unapokuwa katika kituo hicho kipya kabisa na cha kisasa ambapo pia unapata fursa ya kupumzika kuangalia TV special ya Safari Lager ambayo ndio itakuwa inampa mtu ushindi pale anapokuwa amepumzika kituoni.
“Kwenye hiki kituo kuna viti vyetu tumeviweka hapa vipo vitano, kuna chekundu cha siku ya Jumatano ambacho ndicho cha J’Gwara, ukikaa hapo utaweza kuangalia screen ambayo itaonyesha glass kujaa bia, ambapo akishinda hiyo glass itamwambia ongera umejishindia safari lager ML. 375” -Kabula Nshimo
TATU MZUKA: MREMBO ALIYESHINDA ZAIDI YA MARA MBILI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA