Leo March 22, 2018 nakusogezea stori kumhusu Mohamed Semdoe ambaye ni mtaalam wa kutengeneza magodoro ya mifuko ya plastic kutoka Wilaya ya Chemba, Dodoma ambapo ametumia fursa ya kukusanya vitu vigumu ikiwemo makaratasi na kuvibadilisha kuwa magodoro huku akiajiri vijana 11.
Mohamed pamoja na mambo mengine ni Mtanzania ambaye amesoma hadi kupata Shahada ya Pili ya Usimamizi wa Mazingira (Master’s) lakini ameamua kufanya hiyo kazi na amesema tayari imeshaanza kumlipa.
Alichoagiza Rais Magufuli kwa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu