Taarifa kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wanaripotiwa kupoteza maisha.
Ayo TV na millardayo.com imefanya mawasiliano na Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Deborah Magiligimba ambaye amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa ni kweli kuna watu wawili wamefariki, lakini bado hawajapata majina yao.
Jinsi Mtanzania alivyoanza kubadilisha Makaratasi (Taka ngumu) kuwa Magodoro