Hii ni Good News nyingine tena kutokea Dodoma ambapo ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani humo imeanza zoezi la kupandikiza figo kwa wagonjwa wake ambapo hadi sasa tayari mgonjwa mmoja aliyepandikizwa anaendelea vizuri. Ikumbukwe hii inakuwa ni hospitali ya pili Tanzania kutoa huduma hiyo baada ya Muimbili iliyopo Dar es salaa.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali ya hiyo Dr Alphonce Chadika amesema kuanza kwa huduma hiyo hapa nchini itaokoa kiasi kikubwa cha fedha ambapo mwanzoni mtu mmoja alikua akitibiwa nchini India kwa gharama ya kuanzia million 77 ambapo kwasasa hapa nchini gharama zake ni million 24 pekee.
Mama Ashura ndio sababu ya ukimya wa Ebitoke na Bwana Mjeshi? Wazungumza hapa