Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars usiku wa jana March 22 ilicheza game ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Algeria mjini Algers nchini Algeria na kupoteza kwa magoli 4-1, baada ya kipigo stori zilianza kuenea katika mitaani kuwa kocha amekina kikosi.
Habari hizo zilienea mitandaoni kuwa kocha wa Taifa Stars Salum Mayanga amekikana kikosi cha Taifa Stars baada ya kufungwa 4-1 na Algeria kwa madai hakuchagua yeye kilichaguliwa na TFF na kosa msaidizi Hemed Morocco yeye alikuwa yupo safarini.
Baada ya kuenea kwa taarifa hizo kocha Mayanga ametoa ufafanuzi na kuzikana taarifa hizo kuwa ni uongo na uposhaji na zimelenga kuwagawanya.
Hivi ndio Simba walivyotoka sare ya 2-2 dhidi ya Al Masry