March 18,2018 Chama cha ACT Wazalendo walitangaza kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Jeshi la Polisi baada ya ziara za Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe kuzuiliwa mara kadhaa na jeshi la polisi.
Leo March 24, 2018 Msemaji wa ACT, Abdallah Hamis anafafanua kuhusu ilichokipanga Mahakama Kuu katika kesi hiyo ya Madai Na. 8/2018.