Leo March 27, 2018 Viongozi 6 wa CHADEMA akiwemo Mwenyekiti Freeman Mbowe wamekosa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo maamuzi kuhusu maombi yao ya dhamana yatatolewa March 29,2018.
Mbali na Mbowe, wengine ni Dk.Vincent Mashinji, John Mnyika, Peter Msigwa, Salum Mwalimu, Esther Matiko. Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na Wakili wa serikali Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Mbowe na Viongozi wengine watano wa CHADEMA wakipelekwa Gerezani Segerea.