Leo April 3, 2018 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na Viongozi wengine wa chama hicho waliowekwa gerezani kwa siku 7 wameachiwa kwa dhamana.
Akiongea nje ya Mahakama ya Kisutu, Mbowe amesema >>> “Tumekua gerezani Segerea kwa siku 7, tunamshukuru Mungu tuko salama na tumewaona Watanzania zaidi ya elfu 2” -Mbowe