Naibu Spika Dr Tulia Ackson ameelekeza Wizara ya Afya, Ustawi wa jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kufanya uhakiki mpya wa kampuni wa Philips ambayo Wizara hiyo imeingia nayo mkataba wa kusambaza mashine za X Ray huku kampuni hiyo ikilalamikiwa mara kwa mara kutokana na huduma zake.
Miili sita ya Wakimbizi waliopata ajali ilivyozikwa Kagera