Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo April 4, 2018 anawasilisha bungeni mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge, kwa mwaka wa fedha 2018/2019 mjini Dodoma.