Ripoti kutoka Geita inasema kuna mwili wa marehemu una zaidi ya wiki 3, haujazikwa ni baada ya Wananchi wa kijiji cha Nyakabale kuupeleka mwili nyumbani kwa Mwenyekiti wa Kijiji baada ya kutoonekana kwenye msiba, ndipo Serikali ikaamua kuuchukua mwili na kuurudisha Mochwari Hospitali ya mkoa Geita.
Majaliwa Shaban ni ndugu wa marehemu amesema wao wanataka wapatiwe ripoti ya uchunguzi wa ndugu yao ndipo wakazike.
Miili sita ya Wakimbizi waliopata ajali ilivyozikwa Kagera