Ripoti Kutoka Geita, Mke wa Marehemu kaongea namna mwili wa mume wake hajauzika kwa siku zaidi ya 24, Pamoja na Watoto kuulizia kaburi la Baba yao, mume wake alivyoondoka usiku kwenda kwenye shughuli zake na baadae akarudi asubuhi akidai anamaumivu.
Mwili wa marehemu una wiki 3, haujazikwa Geita.