Mbunge wa Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka amelieleza Bunge wakati akichangia bajeti ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2018/19 kuwa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakitumia nafasi zao za uongozi kuwakomoa wananchi bila kujali kanuni na taratibu za kisheria
Hatimaye mwili uliokaa siku 26, mochwari Umezikwa.