Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ameishauri Serikali kuwekeza nguvu ya kutosha katika kusaidia kukua kwa sekta ya kilimo kama inahitaji kutimiza lengo lake la kuwa na Tanzania ya viwanda “Tukijenga viwanda wakati asilimia 70 ya watanzania ni masikini hawawezi kununua bidhaa za viwanda hivyo basi viwanda hivyo vitakufa tu na wala sio muujiza ”
Ommy Dimpoz ametaja sababu za ukimya wake na Alikiba