Anne Malecela ambaye ni Mbunge wa kuteuliwa alikuwa miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni kuchangia mapendekezo yake katika mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge, kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo miongoni mwa yaliyomkera ni Sheria kali zilizowekwa na Serikali kwa wavuvi.
Rais Magufuli alivyokabidhi Toyota Land Cruiser mpyaa aliyoahidi