Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni April 6, 2018 kuwasilisha maoni yake katika mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge, kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo aliishauri Serikali kutofunga mipaka kwa wauza biashara ikiwa haina uwezo wa kuyanunua mazao hayo.
Ushauri wa Hussein Bashe kwa Serikali ya JPM