Ndugu wawili ambao ni wafungwa huko nchini Marekani hivi karibuni wameangua kilio baada ya kukutana tena tangu wametenganishwa na kukaa jela tofauti miaka 22 iliyopita.
Erik Menendez, 47, na Lyle Menendez, 50, walihukumiwa kifungo cha maisha baada ya kuktwa na hatia ya kuwaua kwa risasi wazazi wao mwaka 1989.
Walishtakiwa kuwaua baba na mama yao ambao walikuwa matajiri sana Jose na Kitty Menendez. Wakati wanafanya kosa hilo walikuwa na umri wa miaka 18 na 21.
“Kila siku tabu juu ya tabu, tutashikana mashati humu ndani” –Mbunge Aeshi