Kutoka Ujerumani, mwanaume mmoja ambaye alikuwa ni dereva wa basi amegonga kundi la watu waliokuwa wanatembea kwa miguu na kusababisha vifo vya watu 4 huku akijeruhi wengine ishirini.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini humo, dereva huyo alipogonga kundi hilo la watu naye alijiuwa kwa kujipiga risasi.
Inaaminika kuwa mwanaume huyo ambaye ana umri wa makamu ya kati alikuwa na matatizo ya Kisaikolojia jambo linalohusishwa na tukio hilo la kugonga watu.
MRADI WA DMDP: ‘Maamuzi sahihi Uambatana na Twakimu sahihi’