Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Mtwara Zuhura Farid amewataka wanawake kuhakikisha wanaimarisha malezi kwa watoto wao hasa wa kike na kufuatilia nyendo zao ili kuwaweka salama na kuwaepusha na mimba za utotoni ili wafanye vizuri katika masomo yao.
“Matusi mengi Mtoto wa Kike anapoporomoka yanakuwa ni kwa Mama, ifike wakati wakina Mama na sisi tusitukanike kila siku, Baba na Mama wapo pamoja akirudi ni matusi siku nzima Mama ndo umemuharibu mtoto” -Mwenyekiti UWT