Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane imekuja na mbinu mpya ya kutangaza Utalii wa ndani mbapo imeamua kuwatumia Wanafunzi wa Vyuo vikuu vya Mwanza kutembelea Hifadhi ya Kisiwa cha Saanane kujionea rasilimali zilizopo kwa lengo la kujifunza ili wawe mabalozi wakuitangaza Hifadhi kwenye jamii zao.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama story toka Hifadhi ya Saanane ujionee baadhi ya vivutio vinavyopatikana.