Utafiti mpya kutoka nchini Uingereza umeonesha kuwa suala la upungufu wa uzito kwa wazee wagonjwa wa miaka zaidi ya 60 linapaswa kufanyiwa uchunguzi wa kidaktari haraka kwani huweza kuwa dalili za ugonjwa wa saratani.
Utafiti huu umeeleza kuwa katika uchunguzi huu wanaume wazee ambao wanaumwa, mmoja kati ya saba huwa na magonjwa ya saratani hivyo ni vyema vipimo vikafanyika mapema.
Utafiti huo ambao umefanywa na Chuo Kikuu cha Oxford umeonesha kuwa kupungua uzito ni dalili ya ugonjwa, na tatizo hilo huhusishwa na aina ya saratani takriban 10.
Rais Magufuli ametimiza ahadi, katoa mifuko 300 ya cement