April 10, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dr Mwigulu Nchemba alisimama Bungeni Dodoma kujibu baadhi ya hoja za Wabunge ambapo miongoni mwa aliyoyaelezea hoja ya Wabunge waliotaka mutua sababu za Serikali kutumia Askari Wengi katika vipindi vya uchaguzi
Nchemba amesema…>>>“Sisi kama Jeshi la Polisi hatupendi kuona wananchi wakiumizana kwenye masuala ya uchaguzi, ni aibu sana kwa nchi yenye vyama vingi vya siasa kutokea vurugu katika kipindi cha uchaguzi. Hatutavumilia kuona watu wakikatana mapanga na tutashughulika na kila atakayehusika”
Ilipofikia kesi ya Watuhumiwa 61 wa ugaidi Arusha