pika wa Bunge Job Ndugai ameagiza kufikishwa katika kamati ya maadili Mwandishi wa Gazeti la Raia Mwema Pascal Mayala pamoja na wahariri wa gazeti hilo kwa kosa la kulikashifu bunge katika andiko lake la April 9, 2018
Spika Ndugai amesema katika chapisho hilo yalinukuliwa maneno yaliyosema “Baadhi ya Wabunge ni wasiojielewa na hawajui wameenda kufanya nini Bungeni zaidi ya kujipendekeza kwa Serikali”
MAJIBU: Kuhusu nembo ya Taifa kuwa na Mwanamke alievaa ‘wigi’