Kama huna tabia ya kuchukua risiti baada ya kuweka mafuta Petro Station kwenye chombo chako cha moto, Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kupitia kwa Kaimu Kamishna wa Walipakodi wakubwa Alfred Mregi amesema kuto chukua risiti ama kutoa risiti ni kosa kisheria na adhabu yake ni kuanzia Milioni 3, na kuendelea.
“Utamaduni wa watu kuchukua risiti unaonekana na ni mgeni ktu ambacho hakitakiwi kuwa hivo, Petro station nyingi kuna mapipa yana risiti kitu kinachomaanisha watu hawachukui risiti, sheria inataamka wazi kwamba asiyetoa risiti ni mkosaji na asiyedai risiti” -Mregi
MAGAZETI: Ufisadi wa kutisha CHADEMA,Video yamvuruga Nandy, Mawaziri kumjibu CAG