Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeweza kuitikia wito wa serikali wa kupunguza idadi ya wagonjwa wanaoenda kutibiwa nje ya nchi ili kupunguza gharama na kuweza kuwasaidia zaidi wagonjwa kwa kuanza ujenzi rasmi wa jengo la kupandikiza figo, pesa na eneo tayari vimeshakamilika.
Akizungumza na waandishi wa habari leo April 18 2018 Mtaalamu wa magonjwa ya figo Dr Onesmo Kisanga amezungumzia jinsi wanavyofanya huduma hiyo ya upandikizaji figo aidha ameeleza jinsi wanavyopokea simu nyingi za watu kutaka kuuza figo japo haitakiwi kuuza figo ama kuuziwa.
MAGAZETI LIVE: Wanateseka, Saa 48 za Zitto Kabwe kuumbuka