Mwanaume mmoja anayeshukiwa kuwasaidia wanamgambo wa al-Qaeda kupanga mashambulizi ya September 11, 2011 nchini Marekani na kusababisha vifo vya maelfu ya watu amekamatwa.
Mwanaume huyo amekamatwa na wanamgambo wa Kikurdi wanaofanya kazi ya kulinda amani kaskazini mwa Syria ambao wameeleza kuwa mwanaume huyo ni mzaliwa wa Syria na mwenye uraia wa taifa la Ujerumani.
Mtuhumiwa huyo Mohammed Haydar Zammar anadaiwa kuhusika katika shambulizi la uwanja wa Hamburg katika jela nchini Ujerumani miaka ya 1990.
Zammar anadaiwa kuwahi kukamatwa nchini Morocco mwaka 2001 na akapeleka Syria lakini baadaye aliachiwa huru.
Chakufahamu kuhusu watu wenye macho ya BLUE na KIJANI