April 20, 2018 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr Ashatu Kijaji amewasilisha Bungeni Dodoma kauli ya Serikali kuhusu hoja ya kutoonekana kwenye matumizi ya Serikali jumla ya Shilingi trilion 1.5 kufuatia ripoti mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali (CAG)
Mbunge aliyeomba Magufuli awe Rais wa maisha
https://www.youtube.com/watch?v=l0drBqkUTps&t=4s