Kifaa kipya kimegundulika ambacho kitapandikizwa kwenye ngozi ya binadamu ili kusaidia kubaini kama mtu ana saratani.
Wanasayansi waliogundua kifaa hicho wameeleza kuwa kupandikizwa kwa kifaa hicho kutachunguza kiwango cha madini ya Calcium kwenye damu, ambayo inahusishwa na saratani kadhaa.
Kipandikizi hicho kitatoa tahadhari kama mtu huyo ana saratani au la kwakuangalia kiwango cha madini ya calcium yaliyopo kwenye damu.
Alichofanya Mbunge wa Monduli baada ya Kaya na Mifugo 1000 kuharibiwa na mvua