Leo April 21, 2018 Chama cha ACT Wazalendo kimeandika barua kwa Spika Wabunge kikitaka kufanyike ukaguzi maalum na Bunge juu ya TRILIONI 1.5 ambazo chama hicho kinasema zimepotea kwa mujibu ya ripoti ya CAG.
Barua hiyo iliyoandikwa na Mwenyekiti wa ACT wazalendo Taifa Yeremia Maganja ikieleza kutojulikana kwa matumizi yake pia kitendo cha serikali kutomridhisha CAG Kuhusu matumizi hayo.