Leo Ayo TV na millardayo.com inakuletea story ya mwanaume ambaye ameingia kwenye headlines za vyombo vya habari mbalimbali duniani kwa alichokifanya.
Mwanaume huyo anayejulikana kama Mchungaji Chad Johnson, 40, alikata tamaa kabisa ya kupata mpenzi wa kumuoa, kutokana na hilo, akiwa anatimiza miaka 30 mwaka 2008 aliamua kufungua akaunti na kuwa anaweka Dola 150 kila mwaka sawa na (Shilingi za Tanzania 360,000).
Mwanaume wa miaka 69 akutwa amefariki kanisani
Miaka 10 mbele, mwanaume huyo ametimiza ndoto yake. Amempata mwanamke wa maisha yake Michelle Williams, 37 na amemvalisha pete ya uchumba ya gharama ya pesa aliyoitunza kwa miaka 10.
Michelle ni mmoja wa kundi maarufu la muziki la Destiny’s Child Michelle Williams. Destiny’s Child lilitamba sana katika miaka ya 1997 hadi mwaka 2006 likiwa limeundwa na waimbaji watatu maarufu Beyonce, Kelly Rowland pamoja na Michelle Williams mwenyewe.
Familia iliyomfanya mtoto wao wa kike kuwa ‘wa kiume’
Michelle alikuwa ametoka kuachana na mpenzi wake baada ya kugundua kuwa ana mwanamke mwingine hivyo alikuwa hataki tena kuwa kwenye mahusiano mengine.
Chad kwa upande wake, alikuwa bado anasubiri kumpata mwanamke wa ndoto zake lakini tayari alikuwa ameanza kukata tamaa.
“Serikali isiwapeleke wanamichezo nje ya nchi, Trilion 1.5 ingetosha” –Professor J
Serikali kuanza kuwapima UKIMWI na TB wanaume kwenye baa (Bar)